• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio

Mikakati

    MIKAKATI YA HALMASHAURI KATIKA KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO

Katika kipindi cha miaka miwili kuanzia Julai 2015 hadi Juni 2017, Halmashauri  ilipanga kutekeleza malengo na mikakati mbalimbali ili kuondoa kero na kuboresha maisha ya Wananchi. Baadhi ya Mikakati hiyo ni pamoja na kutekeleza:-

•    Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015

•    Mkakati wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025, chini ya utaratibu wa mpango wa matumizi wa muda wa kati (MTEF).

•    Malengo endelevu ya milenia 2030

•    Matakwa ya Sera na sheria zinazosimamia sekta mbalimbali.

•    Mkakati wa kitaifa wa Kupambana na Kuzuia Rushwa.

•    Mkakati wa kupambana na UKIMWI.

•    Hotuba ya mh. Rais wakati wa kufungua bunge la 10  la Jamhuri ya Muungano mjini Dodoma Novemba 2015.


Katika kuhakikisha mafanikio yanapatikana Halmashauri ya Mji imejiwekea mikakati ifuatavyo:-

•    Kuweka mazingira mazuri ya kufanyia kazi yenye ufanisi mkubwa ili kutoa huduma bora kwa wananchi.

•    Kutengeneza mazingira bora ya Utawala kwa kudumisha amani na umoja.

•    Kutoa huduma kwa wananchi kwa kuwapatia ushauri wa kitaalamu.

•    Kuhakikisha tunaongeza uzalishaji wa mazao mbalimbali kwa kuongeza ubora na kuuza kwa bei nzuri na hatimaye kuongeza kipato na pato la Taifa.

•    Kuhakikisha wadau mbalimbali wanashiriki katika shughuli za Maendeleo.

•    Kuandaa Mipango shirikishi na endelevu.

•    Kuboresha na kubuni vyanzo vya mapatoya Halmashauri

Ili kutekeleza mikakati hiyo ya Halmashauri Halmashauri inazingatia fursa mbalimbali  zilizopo hapa Halmashaurini ikiwa ni pamoja na:

Watu: Rasilimali watu ndio msingi mkubwa wa mafanikio katika utekelezaji wa mipango yetu ya Maendeleo ambapo kwa takwimu za sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Halmashauri ilikuwa na watu 45,349 Asilimia (63.3%) ya Idadi ya watu 71,641 waliokuwa na uwezo wa kufanya kazi.

Ardhi:Halmashauri ina rasilimali ya ardhi yenye rutuba ya kutosha ambayo inaweza kutumika kwa shughuli mbalimbali za kuinua uchumi. Hata hivyo eneo linalotumika kwa kilimo ni hekta 263,552 kati ya hekta 712,300  zinazofaa kwa kilimo.


Fursa za uwekezaji na viwanda:

Katika Mji wa Mafinga viwanda vilivyopo ni pamoja na kutengeneza mazao yatokanayo na kilimo viwanda vikubwa ni pamoja na Unilever Tea Tanzania Ltd, Mafinga Tea &Coffee Company, Tanzania Pyrethrum Processing & Marketing Company,  Mafinga Paper Mills (MPM) na Chai Bora


Fedha: Rasilimali fedha kutoka serikali kuu, mapato ya ndani, michango ya wananchi na wadau wa maendeleo umewezesha Halmashauri kuweza kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na utoaji huduma muhimu za kijamii na kiuchumi.


Miundombinu: Miundo mbinu mizuri ya barabara na mawasiliano ambayo imewezesha kufanikisha shughuli za Maendeleo kwani asilimia 100% (416km) ya barabara zinapitaka mwaka mzima. Katika kushughulikia na kuondoa kero za wananchi. Halmashauri imekuwa ikitekeleza wajibu wake ikizingatia lengo kuu la kuchochea ukuaji wa uchumi wa Tanzania na kupunguza umaskini kwa hususani wa hali ya chini

Matangazo

  • Usafi wa mazingira kwa wananchi wote kila jumamosi ya mwisho wa mwezi April 22, 2017
  • Mazoezi ya viungo April 22, 2017
  • TANGAZO LA MALALAMIKO November 14, 2017
  • RATIBA YA VIKAO VYA BAJETI January 08, 2018
  • View All

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA MJI WA MFINGA YAZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI

    February 13, 2020
  • HALMASHAURI YA MJI WA MAFINGA KUCHANGIA ASILIMIA 10 YA KWA AJILI YA MFUKO WA WANAWAKE ,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAMAVU

    May 23, 2019
  • Zaidi ya Bilioni 25 .2 za Bajeti ya 2019/2020 zapitishwa na Baraza la Madiwani Halmashauri Mji Mafinga.

    February 18, 2019
  • Mwenyekiti wa Halmashauri awataka wananchi kupanda miti kwa wingi

    January 31, 2019
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh Ally Hapi akiongea juu miradi iliyoko Mafinga TC
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.