• Malalamiko |
    • Wasiliana na sisi |
    • Maswali |
    • Baruapepe |
Mafinga Town Council
Mafinga Town Council

Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mafinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Organization Structure
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo na umwagiliaji
      • Fedha
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Afya
      • Ardhi na Maliasili
      • Community Development,Social welfare Gender and Youth
      • Water
      • Work
    • Vitengo
      • Community
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Uchaguzi
      • Huduma za Kisheria
      • Biashara
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa madiwani
    • Kamati Za Kudumu Za Halmashauri
      • Fedha Na uongozi
      • Mipangomiji Namazingira
      • Uchumi, Fedha Na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana Na Mwenyekiti
  • Miradi Mbalimbali
    • Progressive projects
    • Itakayo Tekelezwa
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Machapisho ya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Makitaba ya Picha
    • Taarifa
    • Matukio

Afya

Afya

Idara ya Afya ni miongoni mwa idara katika Halmashauri ya Manispaa ya Mji Mafinga. Idara ya Afya inatekeleza majukumu yake kwa kufuata miongozo mbalimbali inayotolewa na Wizara ya afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto. Huduma hizi zimekuwa zikitolewa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kupitia vituo vya kutolea huduma za Afya na kwa njia ya mkoba katika maeneo mbalimbali ya Manispaa. Katika Halmashauri ya  Manispaa ya Mji Mafinga kuna jumla ya vituo 45 vya kutolea huduma za afya. Vituo hivi vinamilikiwa na serikali, watu binafsi, mashirika ya dini pamoja na taasisi za serikali. Vituo vya kutolea huduma za Afya vinavyomilikiwa na serikali ni 15, Vituo 21 vinamilikiwa na watu binafsi, 4 vinamilikiwa na mashirika ya dini na  vituo 5 vinamilikiwa na taasisi za serikali. Kati ya vituo hivyo 45, kuna hospitali 1, vituo vya Afya 12 na zahanati 32.


    MAJUKUMU YA IDARA

Idara ya Afya inatekeleza majukumu makuu mawili abayo ni Afya kinga na Afya tiba.  Kupitia Afya tiba  idara imelenga kutoa matibabu sahihi kwa gharama nafuu kwa wananchi wa Manispaa ya Mji Mafinga pamoja na Wilaya za jirani.  Afya kinga imelenga kuwakinga wananchi wasipate magonjwa yale ya kuambukiza, yasiyoyakuambukiza pamoja na kuzuia magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu.

    AFYA TIBA

Idara imeendelea kutekeleza majukumu yake kwa kufuata miongozo inayotolewa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na kutekeleza mpango mkakati wa afya wa mwaka 2015 -2020. Katika kuhakikisha wananchi wanapata tiba sahihi, idara imekuwa ikitekeleza majukumu yafuatayo:

    Kusimamia manunuzi ya dawa, vitendanishi vya maaabara ,vifaa na vifaa tiba kisha kuvisambaza kwenye vituo vya kutolea huduma za afya.
    Kutoa huduma za matibabu na uuguzi kupitia vituo vya kutolea huduma za Afya zikiwemo huduma za upasuaji mkubwa na mdogo. Huduma hizi ni kwa wagonjwa wa nje na wagonjwa wa kulazwa.
    Kufanya ukaguzi wa dawa na vifaa tiba kwenye vituo vya kutolea huduma za afya
    Kusajili na kuhuisha maduka ya dawa na vipodozi, kuyafanyia ukaguzi mara kwa mara na kuhakikisha yanafuata sheria, kanuni na miongozo inayosimamia uanzishaji na uwepo wa maduka hayo
    Kusimamia pamoja na kuzikagua maabara zote na kuhakikisha zimesajiliwa na zinatoa huduma bora kulingana na miongozo iliyotolewa na Wizara ya Afya.
    Kutoa, kusimamia na kuratibu huduma za afya ya uzazi na mtoto katika Manispaa . Huduma hizi ni pamoja na uzazi salama, huduma za uzazi wa mpango, huduma za chanjo kwa watoto chini ya miaka mitano na akina mama wajawazito, uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi pamoja na matiti. Huduma nyinginezo ni pamoja na huduma za kuzuia ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto.
    Kuratibu huduma za kuzuia maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na UKIMWI. Huduma zitolewazo ni pamoja na matibabu na matunzo kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI, huduma za kuzuia maambukizi toka kwa mama kwenda kwa mtoto, huduma za kuchunguza na kutibu magonjwa ya ngono pamoja na huduma za wagonjwa majumbani. Huduma hizi hutolewa katika vituo vya kutolea huduma za Afya.
    AFYA KINGA
    Idara imeendelea kutekeleza majukumu mbalimbali yanayolenga kuwakinga wananchi na magonjwa ya kuambukiza. Mojukumu hayo ni pamoja na:
    Ukaguzi wa nyumba za kuishi na  majengo ya biashara kama vile nyumba za kulala wageni,majengo ya kutengeneza na kuuza vyakula ili kuondoa machukizo yanayoweza kuhatarisha afya ya binadamu.
       Utoaji wa elimu ya afya kwa umma kuhusu masuala mbalimbali ya afya.
    Utoaji wa chanjo kwa magonjwa ya kuambukiza kwa wajawazito na watoto
    Usimamizi wa afya na usalama mahala pa kazi
    Usimamizi wa usafi wa Mazingira.
    

  • UMUHIMU WA LISHE - FATMA IRINGA.pdf

Matangazo

  • Usafi wa mazingira kwa wananchi wote kila jumamosi ya mwisho wa mwezi April 22, 2017
  • Mazoezi ya viungo April 22, 2017
  • TANGAZO LA MALALAMIKO November 14, 2017
  • RATIBA YA VIKAO VYA BAJETI January 08, 2018
  • View All

Habari mpya

  • HALMASHAURI YA MJI WA MFINGA YAZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI

    February 13, 2020
  • HALMASHAURI YA MJI WA MAFINGA KUCHANGIA ASILIMIA 10 YA KWA AJILI YA MFUKO WA WANAWAKE ,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAMAVU

    May 23, 2019
  • Zaidi ya Bilioni 25 .2 za Bajeti ya 2019/2020 zapitishwa na Baraza la Madiwani Halmashauri Mji Mafinga.

    February 18, 2019
  • Mwenyekiti wa Halmashauri awataka wananchi kupanda miti kwa wingi

    January 31, 2019
  • View All

Video

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh Ally Hapi akiongea juu miradi iliyoko Mafinga TC
Video zaidi

Viungo Vya Haraka

  • Maelezo na Form Ya kiapo cha uadilifu
  • Muongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini

Tovuti Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya wananchi

Watembeleaji kidunia

world map hits counter

Idadi ya watu wanao tembelea Tovuti

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana na sisi

    Mafinga Town.

    Postal Address: Po.Box 76 Mafinga

    Simu: +255 262 772 393

    Mobile: 026-2772393

    Barua Pepe: td@mafingatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • Maswali
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2018 Mafinga Town Council . All rights reserved.